Windows

Jose Mourinho yupo katika mazungumzo ya kumrithi Mauricio Pochettino Tottenham

Aliyekuwa mkufunzi wa zamani wa klabu ya Chelsea na Man United Jose Mourinho yupo katika mazungumzo ya kuchukua mahala pake Mauricio Pochettino kama mkufunzi wa Tottenham.

Post a Comment

0 Comments