Windows

Neymar: Wachezaji wa Barcelona 'wako tayari kucheleweshewa malipo' kusaidia katika usajili wa nyota wa Brazil

Wachezaji wa Barcelona wamekubali kucheleweshewa malipo yao ikiwa hatua hiyo itasaida kusajiliwa kwa Neymar majira ya joto, anasema Gerard Pique.

Post a Comment

0 Comments