Windows

Tetesi za soka Ulaya Alhamis tarehe 26.09.2019: Eriksen, Pochettino, Mandzukic, Kane, Ibrahimovic, Haaland

Real Madrid inamtaka kiungo wa kati wa Tottenham raia wa Denmark Christian Eriksen, mwenye umri wa miaka 27, kusaini mkataba wa awali mwezi Januari - na baadae atahamia Spurs kwa meneja Mauricio Pochettino. (Mirror)

Post a Comment

0 Comments