WAKABET inatoa huduma ya michezo ya betting/kuweka dau ambayo inashughulikia ligi zote kubwa za mipira kuhakikisha upatikanaji wa aina mbalimbali kwa wateja wetu, na ongezeko la thamani ya urahisi wa malipo na gharama kwa wateja wetu.
Ndani ya Wakabet, kipaumbele chetu ni furaha na kuridhika kwa wateja wetu. Wateja wapya tumia PROMOSHENI CODE hii: BTKA
Tembelea tovuti ya www.wakabet.co.tz kisha fungua sehemu ya JISAJILI, ikifunguka jaza sehemu chache utakazoziona, namba ya simu, jina la mtumiaji, neno la siri kisha utaona sehemu imeandikwa Promosheni Code, hapo ndipo utakapoingiza herufi hizi BTKA.
Ukishajaza hivyo endelea kukamilisha mchakato wa kujisajili kisha utapata bonus kibao kutoka Wakabet baada ya kujisajili, fanya hivyo sasa.
1. Karibu bonsai
Hii ni bonasi anayopata mteja kwa kujiunga na Wakabet kwa mara ya kwanza, kwa kujisajili na Wakabet, weka salio kwenye pochi yako kisha cheza kwa kuandaa mkeka 1 wenye mechi zisizopungua 7 na uwe na odds zisizopungua 20.00.
Zingatia kuwa “karibu bonasi” itadumu kwa muda wa 7 tu. Ili kupata “karibu bonasi” bofya: http://waka.bet
2. Teleza waka
Kampeni ya Wakabet inawapatia bonasi ya pesa wateja wetu wapya kwa kujisajili na kuweka pesa kwenye Pochi ya Waka na kutengeneza mkeka.
Dau utakaloweka kwenye pochi yako ndiyo kigezo cha asilimia ya bonasi ya “teleza Waka” utakayopata, dau la kuweka kwenye pochi ni kuanzia Tzs 2000/= mpaka 100,000/=. Ili kupata bonasi ya “Teleza Waka” bofya http://waka.bet
3. Cash out
Ni promosheni maalumu kwa wateja wa Wakabet inayowapa uwezo wa kudhibiti mikeka yao
Una hofu baada ya kupata taarifa kuwa mchezaji wa timu uliyo iwekea mkeka kuwa ameumia kabla ya mchezo kuanza? Usiogope mfumo wa promosheni hii unakuruhusu kuitoa tiketi yako kabla ya mechi kuanza. Wakabet itakutoza kamisheni ya 10% ya faida ya kujitoa.
KWA MSAADA WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA:
0677 045 926 / 0677 045 927
0743 555 013 / 0743 555 014
0789 834 929
0622 598 611
The post KUTOKA WAKABET… Code ya BTKA Inakupa Fedha Kibao appeared first on Global Publishers.
0 Comments