Windows

Jose Mourinho: Sielewi kwa nini 'Eto'o hakushinda Ballon d'Or'

Mkufunzi wa zamani wa Chelsea na Manchester United Jose Mourinho anaamini kwamba mshambuliaji wa zamani wa Cameroon Samuel Eto'o alifaa kutawazwa kama mchezaji bora duniani hata mara moja tu.

Post a Comment

0 Comments