Wanawake wenye ugonjwa wa kisukari wana uwezekano mara nne wa kujifungua watoto njiti na hivyo kutoweza kuishi kuliko wasio na ugonjwa huo.
Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Glasgow cha Uskochi na kuweza kubaini hilo kwa wanawake wenye ugonjwa huo.
Watafiti hao pia walibaini kuwa theluthi tatu ya watoto wa aina hiyo wanaozaliwa kwa wanawake wenye ugonjwa wa kisukari hutokea wanapomaliza muhula kamili.
0 Comments