Windows

Fahamu kuhusu Jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere linalozinduliwa leo na Rais Magufuli


Jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal III) linafunguliwa leo Agosti 01, 2019 na Rais John Magufuli, ujenzi wakeumegharimu Tsh. Bilioni 722.

Litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria Milioni sita kwa mwaka ikilinganishwa na uwezo wa sasa wa abiria Milioni 2.

Utakuwa na uwezo wa kuhudumia ndege kubwa kabisa 11 kwa mpigo ikiwemo Airbus A380 na Boeing 787 na 777. Na ndege za kati kama Airbus A220-300 na ndege ndogo nyingi.

Post a Comment

0 Comments