Windows

MSHAMBULIAJI MWENYE MIAKA 24 UGANDA AJIUNGA NA BERKANE YA MOROCCO


Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Patrick Kaddu amejiunga na timu ya RS Berkane inayoshiriki Ligi Kuu Morocco.

Kaddu amemalizana na waarabu hao kwa kusaini mkataba wa miaka minne tayari kutoa huduma ndani ya klabu hiyo.

Kaddu amefanikisha dili hilo akitokea kunako timu ya KCCA inayoshiriki Ligi Kuu Uganda.

Mshambuliaji huyo ana miaka 24.

Post a Comment

0 Comments