Windows

KOCHA MKUU WA SINGIDA UNITED ANAPATA TAABU KWELI



UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa marudio dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia wamejipanga kulipa kisasi wakiwa nyumbani Jumamosi ya wiki hii Uwanja wa Chamazi.

Azam FC mchezo wa kwanza ikiwa nchini Ethiopia ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 hivyo kwa sasa inahitaji ushindi kwenye mchezo wa marudio ili kusonga mbele ili wakutane na mshindi wa mchezo kati ya Triangle FC ya Zimbabwe ama Rukinzo ya Burundi na itaanzia nyumbani kati ya Septemba 13-15.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Jaffary Maganga  amesema kuwa kikosi kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo huo.

“Tayari Kocha Ettienne Ndayiragije ameanza kuwapa program maalumu vijana kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mchezo wetu wa marudio tuna imani ya kufanya vizuri kwani tutakuwa nyumbani.

“Uwanja wa Chamazi hakuna kinachoshindikana kwani wachezaji wanautambua vema uwanja na morali ya kusonga mbele kwenye michuano hii mikubwa Afrika upo juu, mashabiki wajitokeze kwa wingi,” amesema.

Post a Comment

0 Comments