Windows

Rais Kenyatta amjulia hali mama mzazi wa Rais Magufuli


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakimjulia hali Mama mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bibi Suzana Magufuli ambaye anapatiwa matibabu kijijini kwake Mlimani Chato mkoani Geita.



Post a Comment

0 Comments