Windows

Idadi ya watu wanaofikisha umri wa miaka 100 yaongezeka


Idadi ya watu wanaofikisha umri wa miaka 100 imeongezeka nchini Ujerumani kwa mujibu wa ofisi ya takwimu.

Kwa mujibu wa takwimu hiyo, idadi hiyo imepanda hadi 533,000 katika mwaka 2019, mara tatu zaidi tangu mwanzoni mwa karne hii.

Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani hii leo ana umri wa miaka 116 , Bi Kane Tanaka kutoka Japan.

Post a Comment

0 Comments