Windows

Waziri Mkuu amjulia hali DC Chemba


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Jumatatu alipomjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa jijini Dodoma na baadaye kuzungumza na wananchi waliofika kupata huduma za matibabu hospitalini hapo.



Post a Comment

0 Comments