Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi bendera ya Taifa baadhi ya washindi wa promosheni ya Soka la Afrika watakaokwenda Misri kushuhudia michuano ya mataifa ya Afrika. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo na kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Tigo Woinde Shisael.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo (kati kati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi bendera ya Taifa baadhi ya washindi wa promosheni ya Soka la Afrika watakaokwenda Misri kushuhudia michuano ya mataifa ya Afrika. Kulia ni Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf na kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Tigo Woinde Shisael.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo (kushoto) akimkabidhi Kalaghe Rashid (kulia) mbaye ni mmoja wa washindi wa Promosheni ya Soka la Afrika inayoendeshwa na kampuni ya Tigo bendera ya Taifa kwa ajili ya kwenda kushuhudia Michuano ya Mataifa ya Afrika yanayofanyika nchini Misri. Anayeshuhudia katikati ni Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Yusuf Singo (kushoto) akimkabidhi Godfrey Muta (kulia) mbaye ni mmoja wa washindi wa Promosheni ya Soka la Afrika inayoendeshwa na kampuni ya Tigo bendera ya Taifa kwa ajili ya kwenda kushuhudia Michuano ya Mataifa ya Afrika yanayofanyika nchini Misri. Anayeshuhudia katikati ni Afisa Biashara Mkuu wa Tigo Tarik Boudiaf
0 Comments