Siku za hivi karibuni, tuliwaletea orodha ya wasanii wa filamu walionusurika kifo wakati walipokuwa wakicheza muvi.Hii leo sasa nakuletea orodha ya waigizaji 10 waliokufa wakati wanacheza muvi walizokuwa wakiigiza.
HIITHI LEDGER
Alifariki mwaka mmoja kabla ya kutolewa kwa muvi aliyokuwa akiigiza ya The Imaginarium of Doctor Parnassus (2009).Inaelezwa kuwa alifariki usiku akiwa location huku chanzo cha kifo chake kikielezwa kuwa ni madawa ya kulevya.Alifariki mwaka 2008.
TAZAMA HAPA KUWAONA WOTE
The post WAIGIZAJI 10 WALIOFARIKI KABLA YA KUMALIZA MUVI! – VIDEO appeared first on Global Publishers.
0 Comments