MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba atabakia klabuni hapo kwa msimu ujao endapo kocha wake Patrick Aussems atamhitaji. Ingawa kwa hali ilivyo ni asilimia ndogo.
Salamba amekuwa akitajwa kuwa moja ya wachezaji ambao wanawezwa kuachwa.
Akizungumza nasi , Salamba amesema: “Hilo la kubakia ndani ya timu kwa msimu ujao, hayo ni masuala ya mwalimu siyo mimi, akitaka nitaendelea kubakia hapa.”
0 Comments