Windows

Siuprise ya Harmoneze kwenye shoo ya Rayavvanny Usipime (Picha +Video)

Wenmgi walijua ni ngumu kwa msanii mwingine kutokla katika lebo ya Wasafi kuonekana kstiks jukwaa la Dar live Mbagala ambako Rayvanny alifanya shoo yake aliyoi[pa jina la Vanny Day.

Rayvannya aliwapa suprise mashabiki wake waliofurika kiwamjani hapo kwa kumpandisha Harmonize kwenye steji kitendo ambacho kilifumua shangwe upya na kufanya kiwanja chote kizizime kwa shangwe.

Harmonize alipanda na ngoma ya Paranawe ambayo ameimba na Rayvanny, ngoma hiyo iliwalipua mashabiki wengi waliokuwa wamekaa pembeni wakipata moja moja, baada ya Paranawe akaimba na wimbo wake wa Never Give up ambao kwa sasa ndiyo habari ya mjini.

Hadi anashuka stejini hakuna shabiki ambaye alipenda kitendo hicho, kwa kuwa kil mmoja alikuwa na kiu ya kumsikia Harmonize akiimba tena na tena hadi jua linatua.

The post Siuprise ya Harmoneze kwenye shoo ya Rayavvanny Usipime (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments