MAMBO ni mengi lakini muda nao ni mchache! Vanny Day ndani ya Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar imefunika baada ya msanii wa kutokla katika lebo ya Wasafi Rayvanny kufanya shoo ya aina yake usiku wa kuamkia leo.
The post RAY VANNY AFUNIKA DAR LIVE IDD PILI (PICHA +VIDEO) appeared first on Global Publishers.
0 Comments