RAPA mkali Bongo, Young Killer amepiga shoo ya nguvu usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar ambapo ametinga stejini akiwa katika muonekano wa babu ambako Rayvanny alifanya shoo yake aliyoipa jina la Vanny Day.
Rayvanny aliwapa suprise mashabiki wake waliofurika kiwamjani hapo kwa kumpandisha Harmonize kwenye steji kitendo ambacho kilifumua shangwe upya na kufanya kiwanja chote kizizime kwa shangwe.
PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL
The post YOUNG KILLER AIBUKA KUPIGA SHOO ‘AKIWA MZEE’ DAR LIVE (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.
0 Comments