


Kiungo mshambuliaji REHAN KIBINGU Anaendelea kusalia KMC kwa miaka mitatu zaidi hadi 2022.
Kiungo huyo amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuendelea kucheza na wawakilishi hao wa kombe la shirikisho barani Afrika kwa msimu ujao wa ligi.
SIMBA WAMALIZANA NA KENNEDY JUMA
Kennedy Juma Mlinzi kitasa wa Singida United amesaini kandarasi ya miaka miwili kucheza klabu ya Simba , Kennedy Juma amemalizana na Simba ikiwa ni baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya Singida United.



0 Comments