Windows

MKWASA AIBUKIA TAIFA STARS




Aliyewahi kuwa Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Bonifasi Mkwasa amesema anakiamini kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kutokana na uwezo wa timu hiyo kwa sasa na aina ya wa chezaji wa liyokuwa nao wenye uwezo wa kubadili matokeo.

Hata hivyo Mkwasa amesema anaamini timu hiyo itafika mbali kikubwa wa tanzania wasiwe na hofu ya timu hiyo kwa kuwa na nafasi kubwa, lakini Mkwasa amegusia maandalizi ya kuelekea AFCON.

Amesema anaimani kubwa sana na timu hiyo na wala hana shida katika upande wa maandalizi zaidi ya uwongozi kujiandaa mapema.

Post a Comment

0 Comments