Kiungo bora wa kati na kipenzi cha Wanasimba, Jonas Gerald Mkude ni rasmi sasa kuwa ataendelea kuwa sehemu kikosi baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuchezea Mabingwa wa nchi Simba SC.
The post Mkude Aongeza Mkataba Kukipiga Simba appeared first on Global Publishers.
0 Comments