Windows

Azam Fc yatema nyota nane, wamo Chirwa, Singano



Uongozi wa Azam Fc umetangaza kuachana na nyota wake nane baada ya kuwa wamemaliza mikataba

Miongoni mwa wachezaji hao waliopewa mkono wa kwaheri ni pamoja na mshambuliaji Obrey Chirwa ambaye wameshindwa kufikia nae makubaliano upande wa mshahara

Winga wa zamani wa Simba Ramadhani Singano 'Messi' nae ameachwa

Wengine waliotemwa ni Joseph Kimwaga, Hassan Mwasapili, Enock Atta Agey, Twafazwa Kutinyu (amejiunga Horoya AC), Steven Kingu na Danny Lyanga

Post a Comment

0 Comments