Windows

Walioshinda tuzo Mo Simba Awards



Tuzo za Mo Simba Awards zimefanyika leo Kilimanjaro Hotel jijini Dar es salaam. Hawa hapa washindi waliotuzwa leo;

1. Kipa Bora wa Mwaka : Aishi Manula

2. Beki Bora wa Mwaka : Erasto Nyoni

3. Kiungo Bora wa Mwaka : James Kotei

4. Mshambuliaji Bora wa Mwaka : John Bocco

5. Mchezaji Bora Mdogo : Rashid Juma

6. Mchezaji Bora Mwanamke : Mwanahamisi Omary

7. Tuzo ya Wachezaji : Erasto Nyoni

8. Mfungaji Bora wa Mwaka : Meddie Kagere

9. Tuzo ya Heshima : Azim Dewji

10. Goli Bora la Mwaka : Clatous Chama

11. Mchezaji Bora wa Mwaka : Meddie Kagere

Post a Comment

0 Comments