Windows

Simba hii ishaamua inasepa na kijiji

Bao la Hassan Dilunga ‘HD’ katika muda wa nyongeza, umewapa jeuri mashabiki wa Simba wanaoamini njia ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara ni nyeupe, licha ya Yanga kuwa kileleni na alama zao 77 baada ya mechi 33.

Post a Comment

0 Comments