Windows

Nyota Azam aitwa kikosi cha Ghana AFCON


Kikosi cha Ghana kitakashoriki michuano ya AFCON 2019 kimetangazwa kwa wachezaji 29 kubakia ambapo 6 pia watapunguzwa ili squad ya watu 23 pekee kubakia ambao ndiyo watashiriki michuano hiyo.
Katika kikosi hiko golikipa wa Azam Fc Razack Abalora anye amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 29.
GOALKEEPERS
Richard Ofori Lawrence Ati Zigi Felix Annan Razak Abaloora
DEFENDERS
Andy Yiadom Harrison Afful Lumor Agbeyenu Baba Rahman Mohammed Alhassan Kasim Nuhu Musah Nuhu Joe Aidoo Jonathan Mensah
MIDFIELDERS
Thomas Partey Kwadwo Asamoah Andre Ayew Ebenezer Ofori Afriyie Acquah Wakasu Mubarak Thomas Agyapong Samuel Owusu Christian Atsu Yaw Yeboah
STRIKERS
Emmanuel Boateng Jordan Ayew Caleb Ekuban Kwabena Owusu Abdul Majeed Waris

Post a Comment

0 Comments