Windows

Ujumbe wa Samatta baada ya Simba kuwa Bingwa

Ujumbe wa Samatta baada ya Simba kuwa BingwaJana ilikuwa ni siku ya Furaha kwa washabiki wa Simba baada ya kutwaa ubingwa wao wa 20 wa ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL.

Baada ya Ubingwa huo nahodha wa Tanzania MBWANA SAMATTA amewapongeza Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Hongera nyingi kwa @SimbaSCTanzania kwa kuwa mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania 2018/19


Post a Comment

0 Comments