Windows

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi amefaiki dunia

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP , Dkt Reginald Abraham Mengi (75) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Dk Mengi amefariki dunia akiwa jijini Dubai, Falme za Kiarabu (UAE).

Post a Comment

0 Comments