Windows

RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA TAIFA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI) JIJINI MBEYA

19
2
 Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Serikali, Taasisi mbalimbali za umma na binafsi  katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
mb%2B%25285%2529
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe Jenista Mhagama na viongozi wa Wafanyakazi wakishuhudia maandamano ya wafanyakazi wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo Jumatano Mei 1. 2019
mb%2B%25288%2529

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe Jenista Mhagama na viongozi wa Wafanyakazi wakishikana mikono na kuimba wimbo wa MSHIKAMANO (Solidarity Forever) wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo Jumatano Mei 1. 2019

a%2B%25287%2529
 Ris wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa cheti cha mfanyakazi bora Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu ( SUMATRA) Bw. Giliard Ngewe wakati wa Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika Uwanja wa Sokoine jijiani Mbeya Leo Jumatano Mei 1, 2019
a%2B%252822%2529
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe Jenista Mhagama na viongozi wa Wafanyakazi wakishikana mikono na kuimba wimbo wa MSHIKAMANO (Solidarity Forever) wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo Jumatano Mei 1. 2019
1
3
 Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais wa TUCTA pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa Mshikamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
a%2B%25288%2529
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa cheti cha mfanyakazi bora wa Shirika la Posta Bw. Madaraka Simba wakati wa Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Leo Jumatano Mei 1, 2019
a%2B%252809%2529
 Ris wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa cheti cha mfanyakazi bora Mkuu wa TEHAMA wa Wizara ya Fedha Bw. John Sausi wakati wa Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Leo Jumatano Mei 1, 2019
20
21
 Wafanyakazi wakiwa katika shamrashamra za Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
a%2B%252811%2529
a%2B%252812%2529
a%2B%252813%2529
a%2B%252814%2529
a%2B%252815%2529
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga wafanyakazi baada ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Leo Jumatano Mei 1, 2019.
4
5.
 Wafanyakazi wakiwa wameshikana mikono huku wakiimba wimbo wa mshikamano katika kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi  iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
mb%2B%25289%2529
mb%2B%252810%2529
 Muonekano wa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Taifa wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi leo Jumatano Mei 1. 2019
 PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments