Windows

MESSI ATACHEZA MPIRA KATIKA KIWANGO BORA ATA AKIWA NA MIAKA 45

Image result for messi

Amesema Raisi wa fc Barcelona ndgu Joseph maria Bartomeu.

Raisi huyo ametoa sifa kwa kiranja wa Fc BARCELONA LEO messi akiwa anaamini Nyota huyo umri miaka 31 bado anauwezo mkubwa sana wakuendelea kufanya poa hata awe na miaka 45.

Messi akiwa katika kiwango bora sana msimu huu tayari amefunga jumla ya bao 48 kwenye mashindano Yote huku bao 34 zikiwa za LA liga.
Ameiwezesha Fc Barcelona kutwaa LA liga na kuweza kuipa matumaini makubwa ya Kutinga fainali ya UEFA champion baada ya kutangulia kwa ushindi mnono dhidi ya Majogoo wa jiji LA Anfield Liverpool mchezo wa awali uliopigwa Camp nou

Post a Comment

0 Comments