MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamebakiwa na mechi 10 mkononi kwa sasa ili kukamilisha mzunguko wa kwanza kwa msimu wa 2018/19.
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kwa sasa kila mmoja ashinde mechi zake, hesabu zitajulikana mwisho wa siku nani atakuwa nani, baada ya kucheza michezo 28 wapo nafasi ya pili wakiwa na pointi 72.
Hizi hapa mechi zao zilizobaki na ratiba yao ipo namna hii:-
Mei 3, Mbeya City v Simba Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Mei 5, Tanzania Prisons v Simba, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Mei 8, Simba v Coastal Union, Uwanja wa Taifa, Dar.
Mei 10, Simba v Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa.
Mei 13, Simba v Azam FC, Uwanja wa Taifa.
Mei 16, Simba v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Taifa.
Mei 19, Simba v Ndanda, Uwanja wa Taifa.
Mei 22, Singida United v Simba, Uwanja wa Taifa.
Mei 25, Simba v Biashara United, Uwanja wa Taifa.
Mei 28, Mtibwa v Simba, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
0 Comments