Windows

MAZEMBE YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA AFRIKA NA ESPERANCE


Timu ya TP Mazembe imeondolewa kunako Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mechi ya leo dhidi ya Esperance ya Tunis kumalizika kwa amtokeo ya 0-0.

Katika mchezo wa awali uliopigwa huko Tunis, Esperance walipata ushindi wa bao 1-0.



Post a Comment

0 Comments