

Yanga 0 – 0 Mbeya City
Dakika ya 2 Mbeya City wanapata kona
Dakika ya 8 Yanga wanafanya shambulizi zito Mbeya City wanaokoa
Dakika ya 11 Feisal Salum anajaribu shuti nje ya 18 inakuwa Kona
Dakika ya 14 Heritier Makambo anajaribu suti nje ya 18 kipa Mandanda wa Mbeya City anadaka mpira
Dakika ya 17 Heritier Makambo anapiga kichwa kupitia krosi ya Tshishimbi mpira unagonga mwamba na kurejea uwanjani, kipa wa City alikuwa ameshakubali
Dakika 20 Yanga wanapata Kona lakini wanasindwa kupata bao
Goaaaaaaaaaal dakika ya 26 Free Kick ya Haji Mwinyi inakutana na Kichwa cha Heritier Makambo na kujaa nyavuni
Yanga 1 – 0 Mbeya City
Dakika ya 36 Haruna Moshi Boban anapewa kadi ya njano
Dakika ya 40
Yanga 1 – 0 Mbeya City
FULL TIME
Yanga 1 – 0 Mbeya City ( 26 ‘ Makambo)
KIPINDI CHA PILI
Kipindi cha pili Kimeanza
Shaban Mohammed ametoka anaingia Jaffary Mohammed
Dakika ya 57 Free Kick kuelekea Yanga karibu kabisa na 18
Dakika ya 66 Bakari anaingia kuchukua nafasi ya Haruna Moshi
Dakika ya 73 Makambo anapewa kadi ya njano
FULL TIME
Yanga 1 – 0 Mbeya City ( 26 ‘ Makambo)




0 Comments