

Mechi Imeanza
Tanzania Prisons 0 – 0 Simba
Dakika ya 2 Mpira wa Kurushwa kuelekea Prisons.
Dakika ya 2 Simba wanapata Kona lakini kipa Aron Kalambo anadaka mpira bila pressure
Dakika 5 zimekatika matokeo yakiwa 0 kwa 0
Dakika ya 7 Mpira wa kurusha kuelekea Prisons, Ismail anaokoa
Dakika ya 8 Haruna Niyonzima anaonyesha udambwidambwi lakini krosi yake aliyoipiga kibao inashindwa kufika kwa wakati.
Mvua inaendelea kunyesha uwanjani wakati huo pambano nalo linaendelea
Goaaaaaaaaaaal mapema tu Emmanuel Okwi anaipatia Simba bao la Kwanza
Prisons 0 – 1 Simba
Dakika 20
Tanzania Prisons 0 – 1 Simba
Dakika 25 Simba wanaongoza kwa bao lakini pia Umiliki wa Mpira wakimiliki kwa asilimia 56
Simba wanaendelea kuwashambulia zaidi Tanzania Prisons
Dakika ya 27 Ismail Aziz anajaribu shuti kipa Manula anpangua na kisha kuuwahi mpira na kuucheza tena
Dakika ya 32 Ezekia Mwashilindi anachezewa faulo na Haruna Niyonzima ni mpira wa Adhabu kuelekea Simba
Dakika ya 44 Ramadhan Ibata anajitahidi anaingia mpaka kwenye 18 lakini anapiga Krosi nyepesi ambayo Kipa Aishi Manula anaidaka kiwepesi
HALF TIME
KIPINDI CHA PILI
DAKIKA 60
Prisons 0 – 1 Simba
Dakika 70
Prisons 0 – 1 Simba
Dakika ya 80 Dilunga anachukua nafasi ya Niyonzima





0 Comments