

Dakika ya 3
Simba 0 – 0 Sevilla
Dakika ya 4 Sevilla wanakosa bao baada ya mchezaji wao kupiga mpira unaopaa juu ya lango
Goaaaaaaaaaaal John Bocco anaipatia Simba bao la kwanza kwa assist ya Meddie Kagere
Simba 1 – 0 Sevilla
Dakika 15
Simba 1 – 0 Sevilla
Goaaaaaaaal Meddie Kagere anaipatia Simba bao la pili
Simba 2 – 0 Sevilla
Goaaaaal Sevilla Wanapata bao kupitia kwa Sergio Escudero
Simba 2 – 1 Sevilla
Goaaaaaaaaaal dakika ya 31 John Bocco anaipatia Simba bao la TATU
Simba 3 – 1 Sevilla
HALF TIME
Simba 3 – 1 Sevilla
KIPINDI CHA PILI
Dakika 48
Simba 3 – 1 Sevilla
Goaaaaaaaal dakika ya 49 Sevilla wanapata bao la pili kupitia kwa Nolito
Goaaaal Chama anaipatia Simba bao la 4
Simba 4 – 2 Sevilla
Dakika ya 75
Simba 4 – 2 Sevilla
Dakika ya 35 Sevilla wanapata bao la 3
Simba 4 – 3 Sevilla
Goaaaaaaal Dakika ya 89 Nolito anaipatia Sevilla bao la 4
Simba 4 – 4 Sevilla
DAKIKA 5 ZA NYONGEZA
Goaaaaaaaaaaal Sevilla wanapata bao la 5
Simba 4 – 5 Sevilla
FULL TIME
Simba 4 – 5 Sevilla



0 Comments