Windows

Matokeo Alliance vs Stand United leo

Mechi Imeanza
Goaaaaal dakika ya 2 Dickson Ambundo anafunga bao la kwanza
Alliance Fc 1 – 0 Stand United
Dakika 15
Alliance Fc 1 – 0 Stand United
Goaaaaaaaal Dickson Ambundo kwa mara nyingine anapata bao na bao lake la pili kwenye mchezo wa leo
Alliance 2 – 0 Stand United
Dakika 30
Alliance 2 – 0 Stand United
Goaaaaal Stand United wanapata bao kupitia kwa Kimanzi
Alliance 2 – 1 Stand United (Ambundo 2′ , 18′ – Kimanzi 45′ )

HALF TIME

Alliance 2 – 1 Stand United (Ambundo 2′ , 18′ – Kimanzi 45′ )

Post a Comment

0 Comments