Windows

Manara akosoa uchaguzi wa Yanga kwenye hili

Wakati leo Yanga wakitarajiwa kupata viongozi wapya kutokana na kufanya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo Afisa habari wa Simba ametoa kasoro kwenye ratiba ya Uchaguzi wa Yanga.
Manara amekosoa kutokuwepo kwa ratiba ya msosi au hata Bites huku akitumia lugha ya Utani kuwa Mariamu Birian akajitolee kuwapa msosi kidogo.
Dada Mariam Biriani naomba kajitolee uwape hata msosi kdogo!!
Ratiba haina msosi wala bites? Basi hata mma!!
Okey kila la kheri ktk uchaguzi na tukisikia bakora tutawashangaa!!!




Post a Comment

0 Comments