

Hali ya winga wa Yanga Mrisho Ngasa bado haijatengemaa akiendelea na matibabu ya ugonjwa wa Malaria
Ngasa amekosa michezo miwili ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting na Mbeya City kutokana na kusumbuliwa na maradhi hayo
Ugua pole 'Uncle' Wana Jangwani tunakuombea ili uweze kupona na kurejea katika majukumu yako kwenye kikosi cha Yanga
GET WELL SOON UNCLE...!



0 Comments