

Kesho Simba SC wanakabidhiwa ubingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) ambao wameutwaa kwa mara ya pili mfululizo.
Sherehe hizo za Ubingwa zitafanyika mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati yao na Biashara FC ambao utaanza majira ya saa tisa alasiri uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.





0 Comments