

Liverpool imekusanya zaidi ya pauni Milioni 152 kwenye ligi kuu ya Uingereza msimu uliomalizika, ikiwa ni zaidi ya pauni Mil 1.44 ya mapato iliyopata Manchester City
Liverpool iliyomaliza nafasi ya pili ikifikisha alama 97, ilipata haki nyingi za matangazo ya televisheni kuliko mabingwa, Manchester City
Manchester City imevuna pauni Mil 38.4 kwa kumaliza mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza. Pauni Milioni 2 zaidi ya Liverpool
Huddersfield imevuna pauni milioni 96.4 ikimaliza mkiani mwa msimamo wa ligi
Timu zote 20 zimelipwa pauni Milioni 34.4 haki za matangazo ya televisheni nchini Uingereza na pauni milioni 43.2 kwa matangazo ya Kimataifa na pauni milion 5 za matangazo ya biashara



0 Comments