

Tarahe kama ya leo alizaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Deus Kaseke 'Deda04'
Kaseke alirejea Yanga msimu uliopita akitokea klabu ya Singida United kwa mkataba wa miaka miwili
Leo ni siku muhimu kwake, tunamtakia kila la kheri
HAPPY BIRTHDAY @deda04



0 Comments