Windows

Conte kocha mpya Inter




WALA usishangae kumwona aliyekuwa mkuu wa benchi la ufundi la Chelsea, Antonio Conte, akiwa na Inter Milan msimu ujao wa Serie A.

Imeripotiwa kuwa pande zote mbili kwa maana ya Conte na Inter, zimeshamalizana na kocha huyo kumwaga wino.

Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu alipokuwa Italia na Juventus, Inter wamempa mkataba utakaokomea mwaka 2022.

Post a Comment

0 Comments