Nahodha wa Simba, John Bocco amewashukuru mashabiki wao na kuwataka wajitokeze kwa wingi katika mchezo wao wa mwisho dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Bocco anasema mashabiki wao walikuwa na mchango mkubwa kuwasapoti walipokuwa wanateleza na kufanikiwa.
"Kuna wakati tulipoteza mechi, lakini hawakuisusa timu yao, hivyo tulishikamana nao nyakati zote, wanastahili pongezi zote.
"Kikubwa imebakia mechi moja na Mtibwa Sugar, niwaombe wajitokeze kwa wingi ili tumakize kwa nguvu moja kama tulivyoanza pamoja," anasema.
Bocco anasema safari yao ya kuchukua ubingwa kwa msimu haikuwa rahisi walikumbana na changamoto nyingi.
"Kulikuwa na viporo vingi, tulicheza mechi nyingi ukichanganya na za kimataifa, lakini tunashukuru tumefikia lengo la ubingwa" anasema Bocco.

0 Comments