Kipa Hugo Lloris wa Tottenham Hotspur akijaribu bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Donny van de Beek kuipatia bao pekee la ushindi Ajax dakika ya 15 ikiwalaza wenyeji 1-0 katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Timu hizo zitarudiana Mei 8 na mshindi wa jumla atakuwa atakutana na mshindi wa jumla baina ya Barcelona na Liverpool kwenye fainali Juni 1 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
0 Comments