Windows

VIDEO: ZAHERA ATAJA SIFA YA AZAM, AELEZA NAMNA ALIVYOWAPANGA WACHEZAJI WAKE


Mtanange kati ya Klabu ya Yanga na Azam FC umemalizika kwa Yanga kuwachapa bao 1 - 0, mkwaju uliowekwa kimiana na Winga Mrisho Ngassa.

Baada ya kuwachapa waoka mikato hao, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema alishajipanga kuifunga Azam hivyo na kuwapa silaha za kutosha wachezaji wake...


Post a Comment

0 Comments