Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten, ameamua kuwatania watani zake wa jadi kwa kuweka matokeo ya TP Mazembe waliyoshinda dhidi ya Club Africain kwa mabao 8-0.
Ten amewatania watani zake Simba ambao watashuka dimbani wikiendi hii kucheza na miamba hiyo ya soka kutoka Congo kwenye Ligi ya Mabingwa Africa.
Hiki hapa alichoandika Ten
0 Comments