Windows

MAJEMBE HAYA YA SIMBA 20 YAIFUATA JS SAOURA LIGI YA MABINGWA,



KOCHA wa Simba, Patrick Aussems, amekwea pipa leo kuwafuata JS Saoura leo akiwakosa wachezaji wake wawili ambao ni Emmanuel Okwi na Juuko Murshid muhimu huku akiamini kwamba ni lazima arejee na ushindi kwa namna yoyote ile.

Aussems leo ameongozana na wachezaji wake 20 kuwafuata JS Saoura wa Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudio Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi:-

Aish Manula, Deogratius Munish 'Dida', Mohamed Hussen 'Tshabalala' Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka'  Zana Coulibaly 'Mzee wa kumwagamaji'  Asante Kwasi, James Kotei, Meddie Kagere, Patrick Wawa, Haruna Niyonzima, Mohamed Ibrahim 'MoIbra' John Bocco, Mzamiru Yassin, Jonas Mkude, Abdul Seleman, Rashid Juma,Adam Salamba, Hassan Dilunga, Nicholous Gyan na Paul Bukaba.

Post a Comment

0 Comments