Windows

BREAKING NEWS!!! LOWASSA AREJEA CCM


Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa, amerejea rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka CHADEMA.

Lowassa alijiunga na CHADEMA mwaka 2015 baada ya kuondolewa katika orodha ya wagombea Urais kupitia CCM.

Tutaendelea kukupa taarifa zaidi dhidi ya urejeo wake, endelea kuwa nasi

Post a Comment

0 Comments