Kikosi cha Simba kimeweka kambi katika hotel hii ya Flomi mjini Morogoro kuelekea mechi yao ya kesho dhidi ya Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Inaelezwa gharama ya kulala kwa usiku mmoja ni shilingi za kitanzania, inaanzia 85 elfu kwenda mbele.
Mechi hiyo itapigwa Uwanja wa Jamhuri ambapo Simba atakuwa mwenyeji, hii ni kutokana na viwanja vyote vya Dar es Salaam kuwa kwenye maandalizi ya michuano ya AFCON (U17).
0 Comments