

Ahadi ni deni! Tulikuahidi tutafanya vema katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, na bila shaka hatujakuangusha Mkuu.
Kuna Watanzania wenzetu kwa dhamira ovu kwa nchi yao wanahamasishana kutukwamisha.
Ila usijali Mkuu, hao tushawazoea na wataendelea kuwepo siku zote, kama wanabeza Dreamliner Simba ni nani hadi wasitubeze?
Ila kwa uwezo wetu na matakwa ya Mola Mwenyezi hatukuangusha wewe na Watanzania wote wanaoitakia mema nchi yetu Inshaallah 🙏
Do or die
Na Haji S Manara




0 Comments