Windows

VIDEO: SIMBA ILINYIMWA PENATI MECHI YA WATANI FEBRUARI 16


Watani wa Jadi Yanga na Simba walikutana Jumamosi ya tarehe 16, Februari kwenye Uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukichezeshwa na mwamuzi Hance Mabena.  

Kwa mujibu wa waamuzi wastaafu Osman Kazi na Manyama Bwire, mwamuzi huyo alichezesha vizuri kwa sehemu kubwa licha ya mapungufu machache ya kibinadamu ikiwemo kuinyima Simba penati kufuatia tukio lililotokea dakika ya 49 kati ya Abdallah Shaibu na John Bocco. 


Post a Comment

0 Comments